Imagen del editor

Kolonia Santita: Laana YA Panthera Tigrisi

Enock Maregesi

32 valoraciones por Goodreads
ISBN 10: 1477222960 / ISBN 13: 9781477222966
Editorial: Authorhouse
Nuevos Condición: New Encuadernación de tapa dura
Comprar nuevo
Precio recomendado: 41.19
Precio: EUR 45,03 Convertir moneda
Gastos de envío: EUR 3,31 A Estados Unidos de America Destinos, gastos y plazos de envío
Añadir al carrito

Ofrecido por

BuySomeBooks
Las Vegas, NV, Estados Unidos de America

Valoración 5 estrellas

Librería en AbeBooks desde: 21 de mayo de 2012

Descripción

Hardcover. 406 pages. Dimensions: 9.1in. x 6.3in. x 1.5in.Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, World Drugs Enforcement Commission (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14; na kuzuia shehena (kubwa) ya madawa ya kulevya na malighafi ya nyukilia: kwenda Afrika, Asia, Amerika, Ulaya na kungoa mizizi ya shirika la CS-14, lote, katika nchi za Hemisifi a ya Magharibi na duniani kwa jumla. Hiki ni kitabu cha kwanza cha aina yake cha kimataifa katika Tanzania. Lengo lake si tu kukata kiu ya wapenzi wa riwaya za kipelelezi na kufufua mwamko wa usomaji wa vitabu; ni kuleta, hali kadhalika, ufahamu na burudani ya kimataifa kwa Watanzania, Wakenya na Waganda na jamii nzima ya Afrika ya Mashariki inayozungumza Kiswahili na walowezi wa jamii yote ya Kiswahili duniani. This item ships from multiple locations. Your book may arrive from Roseburg,OR, La Vergne,TN. N° de ref. de la librería 9781477222966

Cantidad: > 20

Hacer una pregunta a la librería

Detalles bibliográficos

Título: Kolonia Santita: Laana YA Panthera Tigrisi

Editorial: Authorhouse

Encuadernación: Hardcover

Condición del libro: New

Tipo de libro: Hardcover

Acerca de

Sinopsis:

'Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi' ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, 'World Drugs Enforcement Commission' (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14; na kuzuia shehena (kubwa) ya madawa ya kulevya na malighafi ya nyukilia: kwenda Afrika, Asia, Amerika, Ulaya – na kung’oa mizizi ya shirika la CS-14, lote, katika nchi za Hemisifi a ya Magharibi – na duniani kwa jumla.
Hiki ni kitabu cha kwanza cha aina yake cha kimataifa katika Tanzania. Lengo lake si tu kukata kiu ya wapenzi wa riwaya za kipelelezi na kufufua mwamko wa usomaji wa vitabu; ni kuleta, hali kadhalika, ufahamu na burudani ya kimataifa kwa Watanzania, Wakenya na Waganda – na jamii nzima ya Afrika ya Mashariki inayozungumza Kiswahili – na walowezi wa jamii yote ya Kiswahili duniani.

About the Author:

Enock Abiud Maregesi alizaliwa Mwanza, Tanzania, na kukulia Musoma na Dar es Salaam, Novemba 25, 1972. Amesomea teknolojia ya habari na utawala wa biashara katika Chuo Kikuu cha Wales, na uandishi wa habari na vitabu katika chuo cha ubunifu wa kifasihi cha Manchester (The Writers Bureau) nchini Uingereza. Hadithi ya Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi ni kitabu chake cha kwanza kilichohamasishwa na wakongwe wa riwaya wa Tanzania - kama Elvis Musiba, Euphrase Kezilahabi na Ben Mtobwa - na utafi ti yakinifu wa miaka kumi na nane wa ujasusi, madawa ya kulevya, ugaidi wa kimataifa na silaha za maangamizi za kikemia na kibiolojia. Anakaa Reading nchini Uingereza ambako anasoma na kufanya kazi.

"Sobre este título" puede pertenecer a otra edición de este libro.

Descripción de la librería

BuySomeBooks is great place to get your books online. With over eight million titles available we're sure to have what you're looking for. Despite having a large selection of new books available for immediate shipment and excellent customer service, people still tell us they prefer us because of our prices.

Ver la página web de la librería

Condiciones de venta:

We guarantee the condition of every book as it's described on the Abebooks web
sites. If you're dissatisfied with your purchase (Incorrect Book/Not as
Described/Damaged) or if the order hasn't arrived, you're eligible for a refund
within 30 days of the estimated delivery date. If you've changed your mind about a book that you've ordered, please use the Ask bookseller a question link to contact us and we'll respond within 2 business days.

BuySomeBooks is operated by Drive-On-In, Inc., a Nevada co...

Más información
Condiciones de envío:

Orders usually ship within 1-2 business days. Books are shipped from multiple locations so your order may arrive from Las Vegas,NV, Roseburg,OR, La Vergne,TN, Momence,IL, or Commerce,GA.

Todos los libros de esta librería

Métodos de pago
aceptados por la librería

Visa Mastercard American Express Carte Bleue